sw_tn/job/30/07.md

12 lines
239 B
Markdown

# walilia kama punda
"walilia kwa kupata njaa"
# walikuwa uzao wa wapumbavu, naam, wa watu wasiofaa
"walitenda kama watu wasiokuwa na akili"
# walifukuzwa kwa mijeredi watoke kwenye nchi
"walifukuzwa watoke nje ya nchi kama waharifu"