# walilia kama punda "walilia kwa kupata njaa" # walikuwa uzao wa wapumbavu, naam, wa watu wasiofaa "walitenda kama watu wasiokuwa na akili" # walifukuzwa kwa mijeredi watoke kwenye nchi "walifukuzwa watoke nje ya nchi kama waharifu"