sw_tn/job/27/06.md

28 lines
703 B
Markdown

# nashikamana na haki yangu
" mimi nimedhamiria kuendelea kusema ya kwamba ni mwenyehaki"
# sitaiacha
" sitaacha kusema kuwa mimi ni mwenye haki"
# mawazo yangu hayatanisuta
"hata katika mawazo yangu sitajishutumu mwenyewe"
# Adui yangu awe...yule anayeinuka dhidi yangu awe
hivi vishazi viwili vina maana moja. Vinaonyesha hamu ya Ayubu kutaka jambo hili litokee
# Adui yangu na awe kama mtu mwovu
" Adui yangu na aadhibiwe kama mtu mwovu " au "Mungu amuadhibu adui yangu kam anavyowaadhibu watu waovu"
# Yule ainukaye dhidi yangu na awe kama mtu asiye haki
" yule anyeinuka kinyume nami aadhibiwe kama mtu asiye haki"
# yeye ainukaye dhidi yangu
"Yeye anayenipinga" au " mshitaki wangu"