# nashikamana na haki yangu " mimi nimedhamiria kuendelea kusema ya kwamba ni mwenyehaki" # sitaiacha " sitaacha kusema kuwa mimi ni mwenye haki" # mawazo yangu hayatanisuta "hata katika mawazo yangu sitajishutumu mwenyewe" # Adui yangu awe...yule anayeinuka dhidi yangu awe hivi vishazi viwili vina maana moja. Vinaonyesha hamu ya Ayubu kutaka jambo hili litokee # Adui yangu na awe kama mtu mwovu " Adui yangu na aadhibiwe kama mtu mwovu " au "Mungu amuadhibu adui yangu kam anavyowaadhibu watu waovu" # Yule ainukaye dhidi yangu na awe kama mtu asiye haki " yule anyeinuka kinyume nami aadhibiwe kama mtu asiye haki" # yeye ainukaye dhidi yangu "Yeye anayenipinga" au " mshitaki wangu"