sw_tn/job/25/04.md

32 lines
896 B
Markdown

# Sentensi Unganishi
Bildadi anaendelea kuongea.
# Mtu anawezaje ... Mungu? Je anawezaje aliyezaliwa ... kwake?
maswali haya mawili yematumika pamoja kusisitiza kwamba haiwezekani kwa mtu mwema kiasi cha kutosha mkwa Mungu
# Basi mtu anawezaje kuwa mwenye haki kwa Mungu?
"Mtu hawezi kuwa mwenye haki kwa Mungu"
# Je anawezaje yeye aliyezaliwa... kukubalika kwa Mungu?
" yeye ambaye amezaliwa na mwanake hawezi kuwa msafi au kukubalika kwake"
# nyota si safi kwenye macho yake
"safi" maana yake "kamilifu" KTN: "anafikiri hata nyota hazina ukamilifu"
# Jinsi gani mtu ... mwana wa mtu, ambaye ni mnyoo
hii mistari miwili inasema jambo moja na inatumika pamoja kukazia kuwa mtu si mkamilifu.
# ambaye ni mnyoo
Bildadi anaeleza kwmba mwanadamu ni wa thamani ndogo kama minyoo. KTN: "ambaye hana thamani kama mnyoo"
# mwana wa mtu
hii ni namna nyingine ya kumaanisha mtu. KTN: "Mtu"