# Sentensi Unganishi Bildadi anaendelea kuongea. # Mtu anawezaje ... Mungu? Je anawezaje aliyezaliwa ... kwake? maswali haya mawili yematumika pamoja kusisitiza kwamba haiwezekani kwa mtu mwema kiasi cha kutosha mkwa Mungu # Basi mtu anawezaje kuwa mwenye haki kwa Mungu? "Mtu hawezi kuwa mwenye haki kwa Mungu" # Je anawezaje yeye aliyezaliwa... kukubalika kwa Mungu? " yeye ambaye amezaliwa na mwanake hawezi kuwa msafi au kukubalika kwake" # nyota si safi kwenye macho yake "safi" maana yake "kamilifu" KTN: "anafikiri hata nyota hazina ukamilifu" # Jinsi gani mtu ... mwana wa mtu, ambaye ni mnyoo hii mistari miwili inasema jambo moja na inatumika pamoja kukazia kuwa mtu si mkamilifu. # ambaye ni mnyoo Bildadi anaeleza kwmba mwanadamu ni wa thamani ndogo kama minyoo. KTN: "ambaye hana thamani kama mnyoo" # mwana wa mtu hii ni namna nyingine ya kumaanisha mtu. KTN: "Mtu"