sw_tn/jhn/19/intro.md

1.4 KiB

Yohana 19 Maelezo ya Jumla

Muundo na upangiliaji

Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka nukuu za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 19:24, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.

Dhana maalum katika sura hii

"Vazi la zambarau"

Rangi ya zambarau ilikuwa ishara ya kifalme Rangi ya zambarau ilikuwa ishara ya kifalme katika Mashariki ya Karibu. Yesu alivikwa kuoneka kama mfalme kwa kumdhihaki. Yesu alikuwa amevaa kuonekana kama mfalme kwa kukejeliwa.

"Wewe si rafiki ya Kaisari"

Pilato hakutaka kumhukumu Yesu kwa kifo, lakini Wayahudi walimlazimisha. Walifanya hivyo ili kuifanya kuonekana kama kuruhusu Yesu kuishi kungeweza kusaliti serikali ya Kirumi.

Mifano muhimu ya usemi katika sura hii

Kudhihaki

Maneno yanayofuata yanatakiwa kuchukuliwa kudhihaki: "Salamu, Mfalme wa Wayahudi," "Je, nimsulubishe mfalme wenu?" na "Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi." Kudhihaki ni matumizi ya kinaya kumtukana mtu. (See: rc://*/ta/man/translate/figs-irony)

Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii

Gabbatha, Golgotha

Haya ni maneno mawili ya Kiebrania. Baada ya kutafsiri maana ya maneno haya ("Sakafu ya mawe" na "Mahali pa Fuvu"), mwandishi hufasiri sauti zao kwa kuandika kwa herufi za Kigiriki.

<< | >>