sw_tn/jhn/19/intro.md

34 lines
1.4 KiB
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2021-09-10 19:12:24 +00:00
# Yohana 19 Maelezo ya Jumla
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Muundo na upangiliaji
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Baadhi ya tafsiri hupendelea kuweka nukuu za Agano la Kale. ULB na tafsiri nyingine nyingi za Kiingereza huingiza mistari ya 19:24, ambayo ni nukuu kutoka Agano la Kale.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Dhana maalum katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Vazi la zambarau"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Rangi ya zambarau ilikuwa ishara ya kifalme Rangi ya zambarau ilikuwa ishara ya kifalme katika Mashariki ya Karibu. Yesu alivikwa kuoneka kama mfalme kwa kumdhihaki. Yesu alikuwa amevaa kuonekana kama mfalme kwa kukejeliwa.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### "Wewe si rafiki ya Kaisari"
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Pilato hakutaka kumhukumu Yesu kwa kifo, lakini Wayahudi walimlazimisha. Walifanya hivyo ili kuifanya kuonekana kama kuruhusu Yesu kuishi kungeweza kusaliti serikali ya Kirumi.
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Mifano muhimu ya usemi katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Kudhihaki
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 21:41:39 +00:00
Maneno yanayofuata yanatakiwa kuchukuliwa kudhihaki: "Salamu, Mfalme wa Wayahudi," "Je, nimsulubishe mfalme wenu?" na "Yesu wa Nazareti, Mfalme wa Wayahudi." Kudhihaki ni matumizi ya kinaya kumtukana mtu. (See: [[rc://*/ta/man/translate/figs-irony]])
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
## Changamoto nyingine za kutafsiri katika sura hii
2021-09-10 19:12:24 +00:00
2021-09-10 19:21:44 +00:00
### Gabbatha, Golgotha
2021-09-10 19:12:24 +00:00
Haya ni maneno mawili ya Kiebrania. Baada ya kutafsiri maana ya maneno haya ("Sakafu ya mawe" na "Mahali pa Fuvu"), mwandishi hufasiri sauti zao kwa kuandika kwa herufi za Kigiriki.
## Links:
* __[John 19:01 Notes](./01.md)__
2021-09-10 19:21:44 +00:00
__[<<](../18/intro.md) | [>>](../20/intro.md)__