sw_tn/jhn/19/31.md

16 lines
385 B
Markdown

# Wayahudi
Hii inamaanisha viongozi wa Kiyahudi
# siku ya maandalio
Huu ni muda uliokuwa kabla ya pasaka ambao ulitumika kuandaa chakula
# kuvunja miguu yao na kuiondoa
Unaweza kutafsiri kama, "kuvunja miguu ya waliosulibiwa na kuiondoa miili yao kutoka kwenye misalaba yao"
# aliyekuwa amesulibiwa pamoja na Yesu.
Unaweza kutafsiri kama, "ambaye walimsulibisha karibu na Yesu"