# Wayahudi Hii inamaanisha viongozi wa Kiyahudi # siku ya maandalio Huu ni muda uliokuwa kabla ya pasaka ambao ulitumika kuandaa chakula # kuvunja miguu yao na kuiondoa Unaweza kutafsiri kama, "kuvunja miguu ya waliosulibiwa na kuiondoa miili yao kutoka kwenye misalaba yao" # aliyekuwa amesulibiwa pamoja na Yesu. Unaweza kutafsiri kama, "ambaye walimsulibisha karibu na Yesu"