sw_tn/jhn/18/28.md

12 lines
338 B
Markdown

# Maelezo ya jumla:
Askari na washitaki wa yesu wanamleta kwa Kayafa. Mstari wa 28 unaeleza sababu zilizowafanya wasiingie katika Praitorio.
# Kama huyu mtu asingekuwa mtenda maovu, tusingemleta kwako.
Huyu mtu ni mtenda maovu, na ni lazima tumlete kwako ili aadhibiwe"
# Kumleta
Hili neno "kumleta" linamaanisha kumkabidhi kwa adui