# Maelezo ya jumla: Askari na washitaki wa yesu wanamleta kwa Kayafa. Mstari wa 28 unaeleza sababu zilizowafanya wasiingie katika Praitorio. # Kama huyu mtu asingekuwa mtenda maovu, tusingemleta kwako. Huyu mtu ni mtenda maovu, na ni lazima tumlete kwako ili aadhibiwe" # Kumleta Hili neno "kumleta" linamaanisha kumkabidhi kwa adui