sw_tn/jhn/16/26.md

16 lines
424 B
Markdown

# Baba mwenyewe anawapenda kwa sababu mmenipenda mimi
Mtu akimpenda Yesu, Mwana, pia anampenda baba, kwa sababu Baba na Mwana ni mmoja.
# Baba
Hiki ni cheo muhimu cha Mungu.
# Nilitoka kwa Baba... Naondoka ulimwenguni na ninaenda kwa Baba.
Baba alimtuma mwana msalabani awaokoe waamini toka kwenye dhambi na jehanamu, akafufuka toka kwa wafu, na akarudi Mbinguni.
# Ulimwengu
"dunia." Ni mahali ambapo watu wanaishi.