# Baba mwenyewe anawapenda kwa sababu mmenipenda mimi Mtu akimpenda Yesu, Mwana, pia anampenda baba, kwa sababu Baba na Mwana ni mmoja. # Baba Hiki ni cheo muhimu cha Mungu. # Nilitoka kwa Baba... Naondoka ulimwenguni na ninaenda kwa Baba. Baba alimtuma mwana msalabani awaokoe waamini toka kwenye dhambi na jehanamu, akafufuka toka kwa wafu, na akarudi Mbinguni. # Ulimwengu "dunia." Ni mahali ambapo watu wanaishi.