sw_tn/jhn/16/19.md

12 lines
227 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Yesu anaendelea kuongea na wanafunzi wake
# amini, amini nawaambia
tafsiri kwa kuonesha kuwa kifuatacho ni cha muhimu zaidi
# lakini ulimwengu utashangilia
lakini watu wanaompinga Mungu watashangilia