# Sentensi unganishi: Yesu anaendelea kuongea na wanafunzi wake # amini, amini nawaambia tafsiri kwa kuonesha kuwa kifuatacho ni cha muhimu zaidi # lakini ulimwengu utashangilia lakini watu wanaompinga Mungu watashangilia