sw_tn/jhn/12/46.md

12 lines
223 B
Markdown

# Sentensi unganishi:
Yesu anaendelea kuongea na makutano
# Nimekuja kama nuru
Hii inamaana ya "Nikuja kuwaonesha iliyo kweli"
# wasibaki gizani
"giza" hapa humaanisha kuishi katika ujinga wa kutokujua kweli ya Mungu.