# Sentensi unganishi: Yesu anaendelea kuongea na makutano # Nimekuja kama nuru Hii inamaana ya "Nikuja kuwaonesha iliyo kweli" # wasibaki gizani "giza" hapa humaanisha kuishi katika ujinga wa kutokujua kweli ya Mungu.