sw_tn/jhn/11/33.md

12 lines
251 B
Markdown

# alisikitika sana moyoni mwake na roho yake iliumia
Yohana anatumia sentensi hizi mbili kuelezea uzito wa maumivu ya moyo ambayo Yesu aliyapata.
# Mme mweka wapi
Hii ni njia nyingine ya kuuliza, "mmemzika wapi?"
# Yesu akalia
Yesu alianza kulia