# alisikitika sana moyoni mwake na roho yake iliumia Yohana anatumia sentensi hizi mbili kuelezea uzito wa maumivu ya moyo ambayo Yesu aliyapata. # Mme mweka wapi Hii ni njia nyingine ya kuuliza, "mmemzika wapi?" # Yesu akalia Yesu alianza kulia