sw_tn/jhn/10/25.md

12 lines
486 B
Markdown

# Katika jina la Baba yangu
Hii inamaanisha kuwa Yesu alifanya mambo haya kwa uwezo na mamlaka ya Baba yake. Yesu ni mkamilifu , mtakatifu Mwana w Mungumwenye uwezo wa milele kutoka kwa Baba ili kulipa kwa ajili ya dhambi zote milele na kuokoa na kuwasamehe wote waliomwamini.
# Haya yanashuhudia kuhusu mimi
Miujiza yake ilithibitisha kuhusu yeye kama vile shahidi anavyoshuhudia mahakamani.
# Siyo kondoo wangu
"Siyo wafuasi wangu" au "siyo wanafunzi wangu" au "siyo watu wangu"