# Katika jina la Baba yangu Hii inamaanisha kuwa Yesu alifanya mambo haya kwa uwezo na mamlaka ya Baba yake. Yesu ni mkamilifu , mtakatifu Mwana w Mungumwenye uwezo wa milele kutoka kwa Baba ili kulipa kwa ajili ya dhambi zote milele na kuokoa na kuwasamehe wote waliomwamini. # Haya yanashuhudia kuhusu mimi Miujiza yake ilithibitisha kuhusu yeye kama vile shahidi anavyoshuhudia mahakamani. # Siyo kondoo wangu "Siyo wafuasi wangu" au "siyo wanafunzi wangu" au "siyo watu wangu"