sw_tn/jhn/10/07.md

16 lines
508 B
Markdown

# Amini, amini
Tafsiri kama ulivyofanya katika Yoh. 1:49
# Mimi ni mlango wa kondoo
"Mimi ni njia wanayoipitia kondoo kwenda zizini." Yesu anasema yeye ndiye anayeruhusu kuingia. Neno "kondoo" limetumika kumaanisha watu wa Mungu.
# Wote waliokuja kabla yangu
Hili linarejea kwa walimu wengine waliofundisha kabla ya Yesu.
# wezi na wanyang'anyi
Yesu anawaita "wezi na wanyang'anyi" kwa sababu mafiundisho yao yalikuwa ya uongo, na walikuwa wakkijaribu kuwaongoza watu wa Mungu wakati hawaujui ukweli.