sw_tn/jhn/08/45.md

8 lines
323 B
Markdown

# Nani kati yenu ananishuhudia kuwa ni mwenye dhambi?
Hakuna yeyote kati yenu anayeweza kunishuhudia kuwa mimi nina dhambi." Yesu aliuliza swali hili kuweka mkazo kuwa yeye hana dhambi.
# Kwa nini haniamini
Hamna sababu ya kushindwa kuniamini" Yesu alitumia swali hili kuwakemea viongozi wa Kiyahudi kwa kutoamini kwao.