# Nani kati yenu ananishuhudia kuwa ni mwenye dhambi? Hakuna yeyote kati yenu anayeweza kunishuhudia kuwa mimi nina dhambi." Yesu aliuliza swali hili kuweka mkazo kuwa yeye hana dhambi. # Kwa nini haniamini Hamna sababu ya kushindwa kuniamini" Yesu alitumia swali hili kuwakemea viongozi wa Kiyahudi kwa kutoamini kwao.