sw_tn/jhn/08/42.md

8 lines
246 B
Markdown

# Pendo
Huu ni aina ya upendo unaotoka kwa Mungu na unaelekea katika mema ya wengine, hata kama haufaidiki chochote.
# Kwa nini hamyaelewi maneno yangu?
Yesu anatumia swali hili hasa hasa kuwakemea viongozi wa Kiyahudi kwa kutomsikiliza yeye.