# Pendo Huu ni aina ya upendo unaotoka kwa Mungu na unaelekea katika mema ya wengine, hata kama haufaidiki chochote. # Kwa nini hamyaelewi maneno yangu? Yesu anatumia swali hili hasa hasa kuwakemea viongozi wa Kiyahudi kwa kutomsikiliza yeye.