sw_tn/jer/51/34.md

490 B

Amenikausha na kunifanya kuwa bakuli tupu

Babeli amechukua kila kitu cha Israeli.

Amenimeza

Yerusalemu inafananisha uharibifu wake na kitendo cha kumezwa.

Kama Joka

Hii inamfanaisha Babeli na Joka.

Anashibisha tumbo lake kwa chakula kizuri.

Hii inaelezea kuwa Babeli amechukua kila kitu toka kwa Israeli.

Amenitoa nje.

Ambacho Babeli hakukipenda baada ya kuchukua kila kitu ni kutupa vyakula vya zamani toka kwenye chugu.

Wenyeji wa Kaldayo

"watu walioishi Kaldayo."