sw_tn/jer/51/34.md

24 lines
490 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Amenikausha na kunifanya kuwa bakuli tupu
Babeli amechukua kila kitu cha Israeli.
# Amenimeza
Yerusalemu inafananisha uharibifu wake na kitendo cha kumezwa.
# Kama Joka
Hii inamfanaisha Babeli na Joka.
# Anashibisha tumbo lake kwa chakula kizuri.
Hii inaelezea kuwa Babeli amechukua kila kitu toka kwa Israeli.
# Amenitoa nje.
Ambacho Babeli hakukipenda baada ya kuchukua kila kitu ni kutupa vyakula vya zamani toka kwenye chugu.
# Wenyeji wa Kaldayo
"watu walioishi Kaldayo."