# Amenikausha na kunifanya kuwa bakuli tupu Babeli amechukua kila kitu cha Israeli. # Amenimeza Yerusalemu inafananisha uharibifu wake na kitendo cha kumezwa. # Kama Joka Hii inamfanaisha Babeli na Joka. # Anashibisha tumbo lake kwa chakula kizuri. Hii inaelezea kuwa Babeli amechukua kila kitu toka kwa Israeli. # Amenitoa nje. Ambacho Babeli hakukipenda baada ya kuchukua kila kitu ni kutupa vyakula vya zamani toka kwenye chugu. # Wenyeji wa Kaldayo "watu walioishi Kaldayo."