sw_tn/jer/48/34.md

261 B

Heshiboni

Hili ni jina la mji wa kifalme wa mfalme wa Moabu.

Eleale ... Yahasa ... Soari ... Horonaimu ... Eglath-Shelishia

Haya ni majina ya miji ya Moabu.

Nimrimu

Hili ni jina la mto karibu na bahari ya Shamu.

Analosema Bwana

"alilosema Bwana"