sw_tn/jer/48/34.md

16 lines
261 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Heshiboni
Hili ni jina la mji wa kifalme wa mfalme wa Moabu.
# Eleale ... Yahasa ... Soari ... Horonaimu ... Eglath-Shelishia
Haya ni majina ya miji ya Moabu.
# Nimrimu
Hili ni jina la mto karibu na bahari ya Shamu.
# Analosema Bwana
"alilosema Bwana"