# Heshiboni Hili ni jina la mji wa kifalme wa mfalme wa Moabu. # Eleale ... Yahasa ... Soari ... Horonaimu ... Eglath-Shelishia Haya ni majina ya miji ya Moabu. # Nimrimu Hili ni jina la mto karibu na bahari ya Shamu. # Analosema Bwana "alilosema Bwana"