sw_tn/jer/48/01.md

28 lines
533 B
Markdown

# Mebo
Hili ni jina ;a moja ya Mlima huko Moabu.
# Kiriathaimu
Hili ni jina la mji katika Moabu.
# Kiriathaimu imekamatwa na kuaibishwa.
"Adui ameukamata mji wa Kiriathiamu na watu wake hawajivunii tena."
# Heshima ya Moabu haipo tena
Hii ina maana kuwa heshima ya Moabu ambayo alikuwa akiifurahia imetoweka.
# Heshboni
Hili ni jina la mji wa mfalme wa Waamori.
# Madmena pia ataangamia
"madmena" ni mji uliopo Moabu. "Adui zao wataharibu mji wa Madmema."
# Upanga utakufuata
Hii inmaanisha kuwa jeshi litaivamia Moabu.