# Mebo Hili ni jina ;a moja ya Mlima huko Moabu. # Kiriathaimu Hili ni jina la mji katika Moabu. # Kiriathaimu imekamatwa na kuaibishwa. "Adui ameukamata mji wa Kiriathiamu na watu wake hawajivunii tena." # Heshima ya Moabu haipo tena Hii ina maana kuwa heshima ya Moabu ambayo alikuwa akiifurahia imetoweka. # Heshboni Hili ni jina la mji wa mfalme wa Waamori. # Madmena pia ataangamia "madmena" ni mji uliopo Moabu. "Adui zao wataharibu mji wa Madmema." # Upanga utakufuata Hii inmaanisha kuwa jeshi litaivamia Moabu.