sw_tn/jer/48/01.md

533 B

Mebo

Hili ni jina ;a moja ya Mlima huko Moabu.

Kiriathaimu

Hili ni jina la mji katika Moabu.

Kiriathaimu imekamatwa na kuaibishwa.

"Adui ameukamata mji wa Kiriathiamu na watu wake hawajivunii tena."

Heshima ya Moabu haipo tena

Hii ina maana kuwa heshima ya Moabu ambayo alikuwa akiifurahia imetoweka.

Heshboni

Hili ni jina la mji wa mfalme wa Waamori.

Madmena pia ataangamia

"madmena" ni mji uliopo Moabu. "Adui zao wataharibu mji wa Madmema."

Upanga utakufuata

Hii inmaanisha kuwa jeshi litaivamia Moabu.