sw_tn/jer/46/27.md

12 lines
249 B
Markdown

# Mtumishi wangu Yakobo usiogope. Usifadhaike, Israeli
Sentensi hizi mbili zina maana moja. Pamoja zinawapa nguvu watu wa Yuda kuwa wasiogope.
# Hivi ndivyo alivyosema Bwana
"Alichokisema Bwana"
# Hatawaacha bila kuwaadhibu
"atawaadhibu ninyi"