sw_tn/jer/46/27.md

249 B

Mtumishi wangu Yakobo usiogope. Usifadhaike, Israeli

Sentensi hizi mbili zina maana moja. Pamoja zinawapa nguvu watu wa Yuda kuwa wasiogope.

Hivi ndivyo alivyosema Bwana

"Alichokisema Bwana"

Hatawaacha bila kuwaadhibu

"atawaadhibu ninyi"