# Mtumishi wangu Yakobo usiogope. Usifadhaike, Israeli Sentensi hizi mbili zina maana moja. Pamoja zinawapa nguvu watu wa Yuda kuwa wasiogope. # Hivi ndivyo alivyosema Bwana "Alichokisema Bwana" # Hatawaacha bila kuwaadhibu "atawaadhibu ninyi"