sw_tn/jer/46/10.md

24 lines
504 B
Markdown

# Taarifa ya jumla:
Yeremia anaendelea kunukuu maneno ya Bwana kwa taifa la Misri.
# Siku hiyo
Hii ni siku ambayo Wamisri watashindwa vita na Babeli.
# maadui
Neno hili lina maanisha maadui wa Bwana.
# upanga utateketeza na kuridhika. utakunywa damu yao
Hapa upanga unakula kama ambavyo mtu hula. sentensi hizi zinasisitiza kuwa kutakuwa na uharibifu kabisa.
# upanga utateketeza
Neno "upanga" linawakilisha jeshi la taifa la Babeli.
# Sadaka kwa Bwana
"Misri itakuwa sadaka kwa Bwana Mungu."