# Taarifa ya jumla: Yeremia anaendelea kunukuu maneno ya Bwana kwa taifa la Misri. # Siku hiyo Hii ni siku ambayo Wamisri watashindwa vita na Babeli. # maadui Neno hili lina maanisha maadui wa Bwana. # upanga utateketeza na kuridhika. utakunywa damu yao Hapa upanga unakula kama ambavyo mtu hula. sentensi hizi zinasisitiza kuwa kutakuwa na uharibifu kabisa. # upanga utateketeza Neno "upanga" linawakilisha jeshi la taifa la Babeli. # Sadaka kwa Bwana "Misri itakuwa sadaka kwa Bwana Mungu."