sw_tn/jer/46/10.md

504 B

Taarifa ya jumla:

Yeremia anaendelea kunukuu maneno ya Bwana kwa taifa la Misri.

Siku hiyo

Hii ni siku ambayo Wamisri watashindwa vita na Babeli.

maadui

Neno hili lina maanisha maadui wa Bwana.

upanga utateketeza na kuridhika. utakunywa damu yao

Hapa upanga unakula kama ambavyo mtu hula. sentensi hizi zinasisitiza kuwa kutakuwa na uharibifu kabisa.

upanga utateketeza

Neno "upanga" linawakilisha jeshi la taifa la Babeli.

Sadaka kwa Bwana

"Misri itakuwa sadaka kwa Bwana Mungu."