sw_tn/jer/44/15.md

24 lines
645 B
Markdown

# Pathrosi
Hili ni jina la dini katika Misri.
# Kuhusu neno ulilotuambia kwa jina la Bwana: Hatutakusikiliza
"Hatutatii amri ambayo ulitupa kwa mamlaka ya Bwana"
# Malkia wa mbingu
Hiki ni cheo alichopewa mungu aliyeabudiwa Misri ambapo mungu huyo ni mwezi.
# Kisha tutakuwa na chakula na kufanikiwa, bila kupata maafa yoyote
"katika siku hizo tulikua na chakula cha kutosha na mafanikio na hatutapata maafa"
# Tutakuwa na chakula cha kutosha
"tutashibishwa vyema"
# Kisha tutakuwa na chakula na kufanikiwa, bila kupata maafa yoyote
Watu wa Yuda walifikiri kuwa watafanikiwa kwa sababu malkia wa mbingu atawabariki ikiwa watamuabudu.