sw_tn/jer/44/15.md

645 B

Pathrosi

Hili ni jina la dini katika Misri.

Kuhusu neno ulilotuambia kwa jina la Bwana: Hatutakusikiliza

"Hatutatii amri ambayo ulitupa kwa mamlaka ya Bwana"

Malkia wa mbingu

Hiki ni cheo alichopewa mungu aliyeabudiwa Misri ambapo mungu huyo ni mwezi.

Kisha tutakuwa na chakula na kufanikiwa, bila kupata maafa yoyote

"katika siku hizo tulikua na chakula cha kutosha na mafanikio na hatutapata maafa"

Tutakuwa na chakula cha kutosha

"tutashibishwa vyema"

Kisha tutakuwa na chakula na kufanikiwa, bila kupata maafa yoyote

Watu wa Yuda walifikiri kuwa watafanikiwa kwa sababu malkia wa mbingu atawabariki ikiwa watamuabudu.