# Pathrosi Hili ni jina la dini katika Misri. # Kuhusu neno ulilotuambia kwa jina la Bwana: Hatutakusikiliza "Hatutatii amri ambayo ulitupa kwa mamlaka ya Bwana" # Malkia wa mbingu Hiki ni cheo alichopewa mungu aliyeabudiwa Misri ambapo mungu huyo ni mwezi. # Kisha tutakuwa na chakula na kufanikiwa, bila kupata maafa yoyote "katika siku hizo tulikua na chakula cha kutosha na mafanikio na hatutapata maafa" # Tutakuwa na chakula cha kutosha "tutashibishwa vyema" # Kisha tutakuwa na chakula na kufanikiwa, bila kupata maafa yoyote Watu wa Yuda walifikiri kuwa watafanikiwa kwa sababu malkia wa mbingu atawabariki ikiwa watamuabudu.