sw_tn/jer/41/15.md

366 B

Ishmaeli ... Nethania ... Gedalia ... Ahikamu

Haya ni majina ya watu.

Yohana ... Karea

Haya ni majina ya watu.

Wao waliokombolewa toka kwa Ishmaeli

"yeye na jeshi lake walikombolewa toka kwa Ishmaeli"

Hii ni baada ya Ishmaeli kumuua Gedalia mwana wa Ahikamu.

Mwandishi anaacha kusimulia na kuonesha tukio lililopita ili mtiririko wa matukio ueleweke.