# Ishmaeli ... Nethania ... Gedalia ... Ahikamu Haya ni majina ya watu. # Yohana ... Karea Haya ni majina ya watu. # Wao waliokombolewa toka kwa Ishmaeli "yeye na jeshi lake walikombolewa toka kwa Ishmaeli" # Hii ni baada ya Ishmaeli kumuua Gedalia mwana wa Ahikamu. Mwandishi anaacha kusimulia na kuonesha tukio lililopita ili mtiririko wa matukio ueleweke.