sw_tn/jer/41/15.md

16 lines
366 B
Markdown
Raw Permalink Normal View History

2019-05-21 20:17:16 +00:00
# Ishmaeli ... Nethania ... Gedalia ... Ahikamu
Haya ni majina ya watu.
# Yohana ... Karea
Haya ni majina ya watu.
# Wao waliokombolewa toka kwa Ishmaeli
"yeye na jeshi lake walikombolewa toka kwa Ishmaeli"
# Hii ni baada ya Ishmaeli kumuua Gedalia mwana wa Ahikamu.
Mwandishi anaacha kusimulia na kuonesha tukio lililopita ili mtiririko wa matukio ueleweke.