sw_tn/jer/40/03.md

20 lines
419 B
Markdown

# Bwana alikuja. na akafanya kama alivyosema
"Bwana alifanya kama alivyowaambia kuwa atafanya"
# Kwa kuwa mmeasi mbele yake na hamkusikiliza sauti yake
"Kwa kuwa ninyi Yuda mmefanya dhambi juu ya Bwana na hamkusikiliza amri yake"
# jambo hili limetokea
"uharibifu umetokea"
# Basi tazama
Nebuzaradani alisema haya ili kumfanya Yeremia awe makini kumsikiliza kwa wakati huo.
# ni njema machoni pako
"unayotaka"