# Bwana alikuja. na akafanya kama alivyosema "Bwana alifanya kama alivyowaambia kuwa atafanya" # Kwa kuwa mmeasi mbele yake na hamkusikiliza sauti yake "Kwa kuwa ninyi Yuda mmefanya dhambi juu ya Bwana na hamkusikiliza amri yake" # jambo hili limetokea "uharibifu umetokea" # Basi tazama Nebuzaradani alisema haya ili kumfanya Yeremia awe makini kumsikiliza kwa wakati huo. # ni njema machoni pako "unayotaka"